Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi imefikia hatua gani?Karibuni tuungane walimu kuna group la whasp limeanzishwa kwa lengo la kujioganize kukipeleka hiki chama mahakamani,weka namba uungwe ni serious issue
Waaalimu ndio walikuwa wasimamizi wengi kwenye uchaguziHicho chama kuna shida kubwa! Walimu hakuwahi kunufaika na hicho chama, alafu mbaya zaidi kimejiingiza kwenye siasa, hivyo kuna watu wanawekwa pale na kulindwa kwa maslahi ya kisiasa. Matokeo CWT imekuwa haina sauti kabisa kudai maslahi ya wanachama wake!
Walimu pambaneni kuing'oa wanyonyaji hao!
Tarehe 28.10.2020 kampigieni Lissu kura nyingi, mpate kupiga ndege 3 kwa jiwe moja!
1.Mtaongezewa mshahara na kupandishwa madaraja
2.Atakifuta hicho chama kwa haraka sana!
3.Pia Walimu mnaumia na makato ya Bodi ya mikopo, minyororo itafunguliwa!
Kwanini watu wengi huwa hamuombi kusimamia uchaguzi?Waaalimu ndio walikuwa wasimamizi wengi kwenye uchaguzi
Acha wapambane na Hali yao