Hicho chama kuna shida kubwa! Walimu hakuwahi kunufaika na hicho chama, alafu mbaya zaidi kimejiingiza kwenye siasa, hivyo kuna watu wanawekwa pale na kulindwa kwa maslahi ya kisiasa. Matokeo CWT imekuwa haina sauti kabisa kudai maslahi ya wanachama wake!
Walimu pambaneni kuing'oa wanyonyaji hao!
Tarehe 28.10.2020 kampigieni Lissu kura nyingi, mpate kupiga ndege 3 kwa jiwe moja!
1.Mtaongezewa mshahara na kupandishwa madaraja
2.Atakifuta hicho chama kwa haraka sana!
3.Pia Walimu mnaumia na makato ya Bodi ya mikopo, minyororo itafunguliwa!