Equitable
JF-Expert Member
- Dec 24, 2021
- 2,017
- 5,462
Ni katika pitapita zangu mitaani nimekutana na waalimu wakisema "Hatimaye tumepewa vishikwambi tulivyoahidiwa na serikali". Wanasema bila Sophia Mjema katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM) vilikuwa vimepigwa.
Tunamshukuru dada yetu Mjema. Ila
1. Waliotaka kuvipiga wachukuliwe hatua kali ikiwemo kuondolewa kwenye nafasi zao.
2. Vishikwambi vilikuwa vimetangazwa wazi kuwa walimu watapewa na vikafichwa. Je maslahi mangapi ya walimu yasiyo ya wazi kama vishikwambi yaliyofichwa?
Sasa walimu wamekuwa na imani na Chama ila serikali hawanayo imani.
Wafukuzeni matapeli wote wenye nia ovyo na Chama ili waalimu waendelee na imani kwa serikali.
Asante Mjema Mungu akubariki