Mr IQ
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 1,024
- 1,377
Nafahamu hilo... Sio mali yangu Ni mali ya Nchi...Mwalimu hicho kishikwambi sio mali Yako, vipi uneshajaza MKATABA. Wenzio wengine wanatamani kuvirudisha sababu ya masharti magumu km dawa ya kienyeji