Walimu: Tunamshukuru Sophia Mjema ila...

Mwalimu hicho kishikwambi sio mali Yako, vipi uneshajaza MKATABA. Wenzio wengine wanatamani kuvirudisha sababu ya masharti magumu km dawa ya kienyeji
Nafahamu hilo... Sio mali yangu Ni mali ya Nchi...
 
Tablet zenyewe za laki na nusu ndio zinawatoa watu iman
 
Halafu Walimu tunawaona Bar na vishikwambi mnalewa na kuwaachia vishikwambi wahudumu hiyo ni Mali ya serikali ukidukuliwa taarifa utajua hujui.
 
Weka picha achana na maneno
 
Acha siasa na roho mbaya wewe.Kishikwambaya si ushapata? usilipe ubaya kwa ubaya.
 
Cwt nilichama la kipumbafu sana yaani walimu wakidhulumiwa viongozi hawawezi hata kutetea yaapo tuu yanakula michango ya walimu.

Mwalimu anasainishwa mkataba atoe kwa 100% ufaulu A,B mwisho C hii niakili timamu kweli??????
1. hatujaumbwa na sote kujaaliwa uwezo wa darasani!!
2. Mazingira sisawa kwa shule zoote na majumbani mwoote pia!!
3. Mwanafunzi kufaulu sisuala la mwalimu pekee viongozi wajinga hawawezi kujua!!
Nachukia Cwt kama nichukiavyo kande lililochacha...
 
Hilo la kusema kila mtoto apate A au B chini kabisa C sijui kama litatekelezwa kwani tool of assessment itaandaliwa na nani na kivipi !Ajabu kuanzia darasa la awali mpaka huko juu walimu wamejaza mkataba wenye the same content.Mwalimu wangu just relax yatapita tu hao siwitiii hawapo pale kwa ajili ya kumtetea mwalimu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
AISEH!!!?

Basi sawa!!!!!!!!!?
 
Vishikwambi ndio walimu wanavitumia kuwarekodi walimu wenzao ila walimu ni next level kabisa kwa kweli hawakamatiki.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
walimu mara zote huwa wanaridhika na petty things na kusahau mambo muhimu ili waweze kutekeleza majukumu yao vizuri.wamekuwa kama watoto wachanga wanapolia hupewa nyonyo ili wanyamaze.
 
Acha siasa za kipuuzi. Toka lini ccm wakawa wema kwa watz hasa walimu? Ile 23% iliishia wapi?
 
walimu mara zote huwa wanaridhika na petty things na kusahau mambo muhimu ili waweze kutekeleza majukumu yao vizuri.wamekuwa kama watoto wachanga wanapolia hupewa nyonyo ili wanyamaze.
Ni kweli walimu waikazanie serikali iwalipe malimbikizo ya mishahara ya tangu 2017 wala hakuna mtu yeyote aliye wizara ya utumishi au hazina anayejali . Hivyo vishikwambi wangeweza kuvinunua hata kwa mishahara yao mngewalipa na kuwaboreshea maslahi yao

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…