Nimekumbuka mabishano hayo ya abiria wenzangu siku 1 hv ila nikawiwa kuchangia kwa kusema kuwa walimu wana wito coz wanakubali kuishi mazingira magumu,mshahara mdg n.k,labda aseme hawana uzalendo tatizo ambalo ni la kila mtz kwa sasa mpaka Rais.
Ndipo hapo sa2 ninaposema kuwa hawa jamaa wana wito kama wanavyolazimishwa na wanasiasa na ndio maana wlm wengi are poor