Walimu tusikubalia taaluma yetu kuitwa wito

Walimu tusikubalia taaluma yetu kuitwa wito

Hivi kuna mtu analazimishwa kufanya kazi anayoifanya?
 
I am afraid you are misguided...

Nenda kasome tena maana ya neno, 'wito'!
 
Nimekumbuka mabishano hayo ya abiria wenzangu siku 1 hv ila nikawiwa kuchangia kwa kusema kuwa walimu wana wito coz wanakubali kuishi mazingira magumu,mshahara mdg n.k,labda aseme hawana uzalendo tatizo ambalo ni la kila mtz kwa sasa mpaka Rais.
 
index.jpeg
This is where we expect to get teachers, doctors, pilots etc. FROM! Kinyambwiga A and B Primary school pupils in Bunda Constituency, Mara Region sit on stones and pieces of wood under a tree due to lack of classrooms as they listen to their teacher. (Photo: Ahmed Makongo - Home)

Full story

Mliopo Bunda tuwekeeni picha ya gari analotumia Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kisha tuwianishe wito wa mwalimu na mtumishi mwingine wa serikali hiyohiyo

Ndipo hapo sa2 ninaposema kuwa hawa jamaa wana wito kama wanavyolazimishwa na wanasiasa na ndio maana wlm wengi are poor
 
Ni chanzo cha umasikini wa watz waalimu wamechangia kiasi kikubwa kwa kushindwa kujenga jamii yenye uelewa mpana wa mawazo na kufikiri.Tatizo ni waalimu wa kisasa na siyo kulaumu serikali na umasikini wa watz
 
Back
Top Bottom