C CHEKEA Member Joined May 1, 2013 Posts 83 Reaction score 50 Apr 3, 2014 #1 Tunaom ba mumkumbushe mkurugenzi na afisaelimu kuwa, walimu wa halmashauri ya manispaa ya Ilala hatuna vitambulisho vya kazi. Tokea tulipopewa vitambulisho vya muda, sasa ni miaka imepita bado hatujapata hivyo vitambulisho.
Tunaom ba mumkumbushe mkurugenzi na afisaelimu kuwa, walimu wa halmashauri ya manispaa ya Ilala hatuna vitambulisho vya kazi. Tokea tulipopewa vitambulisho vya muda, sasa ni miaka imepita bado hatujapata hivyo vitambulisho.