Walimu wa ajira mpya wa Ilala,mtusaidie kuomba vitambulisho vya kazi.

Walimu wa ajira mpya wa Ilala,mtusaidie kuomba vitambulisho vya kazi.

CHEKEA

Member
Joined
May 1, 2013
Posts
83
Reaction score
50
Tunaom ba mumkumbushe mkurugenzi na afisaelimu kuwa, walimu wa halmashauri ya manispaa ya Ilala hatuna vitambulisho vya kazi. Tokea tulipopewa vitambulisho vya muda, sasa ni miaka imepita bado hatujapata hivyo vitambulisho.
 
Back
Top Bottom