A
Anonymous
Guest
Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro haijalipa fedha za kujikimu kwa ajira mpya na wapo kimya, hawajasema lolote.
Serikali itusaidie katika hilo, tuliripoti kazini mwezi wa kwanza hadi sasa mwezi wa nne, lakini hatujapewa pesa za kujikimu. Mimi ni mwalimu.
Soma Pia: Walimu Ajira Mpya - Dar hatujalipwa Fedha za Kujikimu, Kila tunapofuatilia, tunatishiwa kufukuzwa kazi
Kwa Kilosa DC, kada zote hatujapewa pesa za kujikimu na hatujapewa utaratibu wowote hadi sasa.
Ujumbe huu kupitia JF tunaamini ukafika sehemu sahihi na huenda tutalipwa. Kweli ni changamoto; tukiuliza, wanakuwa kimya.