Mimi ni mwajiliwa mpya wa ajira za january wilaya ya kilosa hatujalipwa hela za kujikimu na maisha ni magumu sana kutokana na kupanda kwa gharama za maisha.
Tumejaribu kuulizia hilo swala tulipoitwa kwenye semina ya mafunzo tukaambiwa hela hazijaletwa kutoka serikali kuu,, Tukajaribu kuhoji kwann halmashauri zingne wamepewa hatukupewa majibu na wala mwongozo wa namna gan tunaweza tukazipata hizo hela.
Hali hii inapelekea kua na kipindi kigumu sana katika utendaji kazi wetu,, tunaomba msaada taarifa hii ifike kwa mamlaka ili tupate sitahiki zetu asante