Walimu wa arts na lugha waanza kuitwa kazini #kiswahili, English,htm

Zamani mlikuwa mnakula shavu tu ukimaliza masomo unasubiri kupangiwa kituo
Baada ya utitiri wa vyuo kuanza kufundisha ualimu imekuwa mbombo ngafu lazima mtahiniwe na mchujwe…
 
Duniani hakuna haki,mwingine amesota mtaani kutoka mwaka Jana,mwingine Mwezi Jana tu.Ghafula mmekuwa sawa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…