A
Anonymous
Guest
Kuna changamoto ya Walimu wa Biashara (Business Studies) walioanza kuajiriwa tokea mwaka jana (February 2025) na wanaendelea kuajiliwa mpaka sasa! Kumekuwa na sintofahamu ya sisi walimu kutopewa barua za kuthibitishwa na Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC) licha ya kutimiza kipindi cha probation na zaidi!
Wanadai sisi siyo walimu labda tukasome kwanza Postgraduate ya Ualimu! Kuna halmashauri huko Tanga, Walimu wamethibitishwa lakini kwingine wanatukatalia! Hali hii inaleta mkanganyiko pia inatuondolea hali ya kufanya kazi, tunashindwa kuwa na uhakika wa kazi tuliyonayo mwishowe wanaoathirika zaidi ni wanafunzi wanaotakiwa kufundishwa!
Wakati tupo kwenye mafunzo (semina) mwaka jana 2025, alipita Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu kwenye vituo vyote vya semina akituhakikishia kuwa serikali itasomesha walimu wote wa Business Postgraduate ya ualimu lakini mpaka leo tukijaribu kuuliza hakuna majibu
Inaonekana hakuna mawasiliano kati ya wizara husika pamoja na halmashauri kuhusiana na jambo hili maana Halmshauri nyingi hazijui chochote kuhusu utaratibu wa walimu ya Business.
Tukienda kuulizia barua tunaambiwa nendeni mkasome kwanza! Kiukweli hali hii inatuweka dilemma sana na tunabaki bila majibu! TUNAOMBA SANA WAZIRI HUSIKA ATUSAIDIE KULITOLEA UFAFANUZI HILI JAMBO NA ROHO ZETU ZITAPONA!
Teachers Service Commission(TSC)
Tunaambiwa siyo Walimu maana hatukusoma kozi za ualimu (Serikali ilianzisha somo la Biashara bila walimu mahsusi, hivyo ikaajiri walimu wenye digrii za Business Administration, economics etc).
Pia soma:
~ Somo la BUSINESS STUDIES lina upungufu mkubwa wa Walimu
~ Walimu wa Economics na changamoto ya ajira kufundisha Business Studies