Walimu wa Field msiwalazimishe mapenzi wanafunzi

Mwanaume yeyote akiwa sehemu yenye wanawake lazima atongoze tu hiyo ni nature yetu mkuu
 
Hao ni watu wazima ngoja waliwe yawezekana wakapata waume hapo
 
Hao wanaokupiga mawe kwa hii mada inawezekana hawajavaa uhalisia wa binti zao kutongozwa na waalimu
Moja ya situations mbaya kishule shule ama kichuo chuo ni kutongozwa na anayekufundisha

Uko sawa kabisa kwa ulichokiandika....wabadilike wahusika
Nakupa kongole kwa kulichukulia swala hili kwa Jicho la kipekee
 
Inatakiwa kubadilisha fikra sio kuwaza kugegeda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…