kutoka kwenye debate ya wanafunzi walivyokuwa wakibishana wengine walidai kwamba " verification ya hilo swali ilikuwa ni kwamba ilitakiwa utoe uthibitisho nikwaniin kukua kwa ongezeko imekuwa ni kama tatzo kubwa kwa nchi zinazoendelea.. hivyo basi sababu itakuwa ni kama un employment, poverty, lack of education on family planing methods, embracement of poor cultural belief like polygamism... hivyo hii imechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa ongezeko katika nchi zinazoendelea hivyo hii inasababisha kuonekana kama tatizo kubwa"
wengine walidai kwamba hapo unaandika negative impacts za population growth... sasa hapa ikawa ni very contradicting maana wote wanaonekana kama wako sahihi kulingana na uwasilishaji na utetezi wa hoja zao.
ila swali likabaki ni kwaniin maswali mawili yawe na concept moja!, yaani points za swali la kwanza uhamishie kwenye swali la pili tena kwa mtihani mkubwa kama necta, its like daznt making sense.. hichi ndo kikanisukuma kuja kuandika huku kwa watu wenye maarifa makubwa zaidi.