Walimu wa Geography naomba msaada

Walimu wa Geography naomba msaada

The larger population the greater health problem and the greater deficit of health facilities. Lakini pia population inapokuwa kubwa na human activities zinakuwa increases na kusababisha environment pollution kutokana na viwanda.
 
kutoka kwenye debate ya wanafunzi walivyokuwa wakibishana wengine walidai kwamba " verification ya hilo swali ilikuwa ni kwamba ilitakiwa utoe uthibitisho nikwaniin kukua kwa ongezeko imekuwa ni kama tatzo kubwa kwa nchi zinazoendelea.. hivyo basi sababu itakuwa ni kama un employment, poverty, lack of education on family planing methods, embracement of poor cultural belief like polygamism... hivyo hii imechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa ongezeko katika nchi zinazoendelea hivyo hii inasababisha kuonekana kama tatizo kubwa"


wengine walidai kwamba hapo unaandika negative impacts za population growth... sasa hapa ikawa ni very contradicting maana wote wanaonekana kama wako sahihi kulingana na uwasilishaji na utetezi wa hoja zao.

ila swali likabaki ni kwaniin maswali mawili yawe na concept moja!, yaani points za swali la kwanza uhamishie kwenye swali la pili tena kwa mtihani mkubwa kama necta, its like daznt making sense.. hichi ndo kikanisukuma kuja kuandika huku kwa watu wenye maarifa makubwa zaidi.
Necta Wana vitabu vyao ambavyo hua vinachambua swali kwa swali nenda kwenye website yao utakipata then utajua kiundani swali lilitaka Nini, Tatzo maarifa mengi yamejificha kwenye maandiko. Soma hyo moja ya Andiko lao.
View attachment 1843939
 
Ongezeko la watu pia linasababisha utumiaji mkubwa wa ardhi kama sehemu kuu ya uzalishaji mali, kiuchumi so umaskini lazima utaongezeka maana hakuna shughuli za kiuchumi zitakazo fanywa kwa ufanisi.

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Ongezeko la watu linapelekea Over exploitation of resources which means resources will be scarce when you face the problem of scarcity ni lazima innovation itokee zaman Ile huwezi Lima mahindi Heka Moja upate gunia 20 lakin siku hizi ni possible ko unavotaja point uwe makin
 
Hivi katu ya nchi tajiri Na masikini,Ni zipi Zina population density kubwa??
Swali la msingi sana na lipo more practically nchi za Europe hawana rasilimali so kupunguza population ni muhimu Moja Kwa Moja ila sight few example za nchi kama USA,China,Brazil,India je hawajapiga hatua ya kimaendeleo
 
Back
Top Bottom