Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 625
- 856
Havanna waelekeze vijana point zenye mashikoEnvironmental degradation
Poverty
Misallocation of social services
Unemployment
Traffic jams
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Havanna waelekeze vijana point zenye mashikoEnvironmental degradation
Poverty
Misallocation of social services
Unemployment
Traffic jams
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Ukiwa huna Hela huwezi pata mwanamke utampa nn Sasa utazaa vipunamaanisha vipi?
Bado points zipo nyingi sema vijana hawajiongezi kusomaHavanna waelekeze vijana point zenye mashiko
Watu masikini huzaana sana. Hulijui hili?Mbali na hayo huwez sema kuwa poverty inaweza sababisha ongezeko LA watu how
Ongezeko la watu pia linasababisha utumiaji mkubwa wa ardhi kama sehemu kuu ya uzalishaji mali, kiuchumi so umaskini lazima utaongezeka maana hakuna shughuli za kiuchumi zitakazo fanywa kwa ufanisi.Watu masikini huzaana sana. Hulijui hili?
Necta Wana vitabu vyao ambavyo hua vinachambua swali kwa swali nenda kwenye website yao utakipata then utajua kiundani swali lilitaka Nini, Tatzo maarifa mengi yamejificha kwenye maandiko. Soma hyo moja ya Andiko lao.kutoka kwenye debate ya wanafunzi walivyokuwa wakibishana wengine walidai kwamba " verification ya hilo swali ilikuwa ni kwamba ilitakiwa utoe uthibitisho nikwaniin kukua kwa ongezeko imekuwa ni kama tatzo kubwa kwa nchi zinazoendelea.. hivyo basi sababu itakuwa ni kama un employment, poverty, lack of education on family planing methods, embracement of poor cultural belief like polygamism... hivyo hii imechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa ongezeko katika nchi zinazoendelea hivyo hii inasababisha kuonekana kama tatizo kubwa"
wengine walidai kwamba hapo unaandika negative impacts za population growth... sasa hapa ikawa ni very contradicting maana wote wanaonekana kama wako sahihi kulingana na uwasilishaji na utetezi wa hoja zao.
ila swali likabaki ni kwaniin maswali mawili yawe na concept moja!, yaani points za swali la kwanza uhamishie kwenye swali la pili tena kwa mtihani mkubwa kama necta, its like daznt making sense.. hichi ndo kikanisukuma kuja kuandika huku kwa watu wenye maarifa makubwa zaidi.
Ongezeko la watu linapelekea Over exploitation of resources which means resources will be scarce when you face the problem of scarcity ni lazima innovation itokee zaman Ile huwezi Lima mahindi Heka Moja upate gunia 20 lakin siku hizi ni possible ko unavotaja point uwe makinOngezeko la watu pia linasababisha utumiaji mkubwa wa ardhi kama sehemu kuu ya uzalishaji mali, kiuchumi so umaskini lazima utaongezeka maana hakuna shughuli za kiuchumi zitakazo fanywa kwa ufanisi.
Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
Hivi katu ya nchi tajiri Na masikini,Ni zipi Zina population density kubwa??Watu masikini huzaana sana. Hulijui hili?
Swali la msingi sana na lipo more practically nchi za Europe hawana rasilimali so kupunguza population ni muhimu Moja Kwa Moja ila sight few example za nchi kama USA,China,Brazil,India je hawajapiga hatua ya kimaendeleoHivi katu ya nchi tajiri Na masikini,Ni zipi Zina population density kubwa??