Almalik mokiwa
Senior Member
- Jun 5, 2020
- 147
- 157
nawasubiri sana wote wenye utaalam wa geography maana hilo swali linazua mjadala.. mpka nimeona nililete humu.Ngoja waje
PollutionWalimu wa Geography naomba points hata 4 za swali hili.
It is argued that, population growth in developing countries has become the big problem. verify the statement by giving eight points.
hili swali lilitoka necta lilikuwa swali la kwanza la compulsory the swali la pili likawa ivi.. analyze 4 effects of population growth and suggest 4 measures to be taken.Unemployment problem which can lead to high dependency ratio and high dependency ratio it affect directly the individual income so personal welfare will detororate( like poor health service,)
High population growthhili swali lilitoka necta lilikuwa swali la kwanza la compulsory the swali la pili likawa ivi.. analyze 4 effects of population growth and suggest 4 measures to be taken.
swali: inawezekanaje kwa swali lenye concept moja kuwekwa kwa pamoja tena kwa mtihani kama necta??
kutoka kwenye debate ya wanafunzi walivyokuwa wakibishana wengine walidai kwamba " verification ya hilo swali ilikuwa ni kwamba ilitakiwa utoe uthibitisho nikwaniin kukua kwa ongezeko imekuwa ni kama tatzo kubwa kwa nchi zinazoendelea.. hivyo basi sababu itakuwa ni kama un employment, poverty, lack of education on family planing methods, embracement of poor cultural belief like polygamism... hivyo hii imechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa ongezeko katika nchi zinazoendelea hivyo hii inasababisha kuonekana kama tatizo kubwa"Jaman sijaingia darsan muda mrefu lakin hayo mawsali ni rahis mno
Madenti wa miaka hii swali linataka Kwa Nini hii population growth inasemwa kuwa ni tatizo katika nchi zinazoendelea na sio sababu zinazopelekea kuongezeka Kwa idadi kubwa ya watu nadhan umeelewakutoka kwenye debate ya wanafunzi walivyokuwa wakibishana wengine walidai kwamba " verification ya hilo swali ilikuwa ni kwamba ilitakiwa utoe uthibitisho nikwaniin kukua kwa ongezeko imekuwa ni kama tatzo kubwa kwa nchi zinazoendelea.. hivyo basi sababu itakuwa ni kama un employment, poverty, lack of education on family planing methods, embracement of poor cultural belief like polygamism... hivyo hii imechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa ongezeko katika nchi zinazoendelea hivyo hii inasababisha kuonekana kama tatizo kubwa"
wengine walidai kwamba hapo unaandika negative impacts za population growth... sasa hapa ikawa ni very contradicting maana wote wanaonekana kama wako sahihi kulingana na uwasilishaji na utetezi wa hoja zao.
ila swali likabaki ni kwaniin maswali mawili yawe na concept moja!, yaani points za swali la kwanza uhamishie kwenye swali la pili tena kwa mtihani mkubwa kama necta, its like daznt making sense.. hichi ndo kikanisukuma kuja kuandika huku kwa watu wenye maarifa makubwa zaidi.
Mbali na hayo huwez sema kuwa poverty inaweza sababisha ongezeko LA watu howkutoka kwenye debate ya wanafunzi walivyokuwa wakibishana wengine walidai kwamba " verification ya hilo swali ilikuwa ni kwamba ilitakiwa utoe uthibitisho nikwaniin kukua kwa ongezeko imekuwa ni kama tatzo kubwa kwa nchi zinazoendelea.. hivyo basi sababu itakuwa ni kama un employment, poverty, lack of education on family planing methods, embracement of poor cultural belief like polygamism... hivyo hii imechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa ongezeko katika nchi zinazoendelea hivyo hii inasababisha kuonekana kama tatizo kubwa"
wengine walidai kwamba hapo unaandika negative impacts za population growth... sasa hapa ikawa ni very contradicting maana wote wanaonekana kama wako sahihi kulingana na uwasilishaji na utetezi wa hoja zao.
ila swali likabaki ni kwaniin maswali mawili yawe na concept moja!, yaani points za swali la kwanza uhamishie kwenye swali la pili tena kwa mtihani mkubwa kama necta, its like daznt making sense.. hichi ndo kikanisukuma kuja kuandika huku kwa watu wenye maarifa makubwa zaidi.
according to msabila.. anaeleza kwamba umasikini huwafanya watu wafikirie zaidi ngono kama kitu kinachofariji masikini wengi.. wanapokosa kazi basi wanajikita zaidi kwenye ku produce.Mbali na hayo huwez sema kuwa poverty inaweza sababisha ongezeko LA watu how
Mdogo wangu waandishi wa vitabu Huwa wanataka kuuza vitabu ila u need to think kuwa hiki kinachosemwa ni kweliaccording to msabila.. anaeleza kwamba umasikini huwafanya watu wafikirie zaidi ngono kama kitu kinachofariji masikini wengi.. wanapokosa kazi basi wanajikita zaidi kwenye ku produce.
na kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa masikini wengi ndo humiliki kiasi kikubwa cha watoto kuliko matajiri.
sawa.Mdogo wangu waandishi wa vitabu Huwa wanataka kuuza vitabu ila u need to think kuwa hiki kinachosemwa ni kweli
Environmental degradationWalimu wa Geography naomba points hata 4 za swali hili.
It is argued that, population growth in developing countries has become the big problem. verify the statement by giving eight points.
Ukiwa tee dog hakuna demu anaeweza kukupenda Sasa hao watoto utapata vipsawa.
unamaanisha vipi?Ukiwa tee dog hakuna demu anaeweza kukupenda Sasa hao watoto utapata vip