Walimu wa Grade A mnaoenda kuripoti

Walimu wa Grade A mnaoenda kuripoti

OIL CHAFU

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
996
Reaction score
773
Jamani hivi subsistence allowance ya walimu wa Grade A wanaoenda kuripoti tarehe moja ni Tsh ngapi kwa siku?
 
Noma kuiweka hadharani kwa kuwa kwa siku inaweza kulingana na ile wanayolipwa Wabunge wa BMK, yaani ***,000/= per day! Uliza kimyakimya Kaka!
 
acha kumfuatilia mdogo wako.yaani unamkaba hadi wataka kujua ni sh. ngapi?
 
Back
Top Bottom