O OIL CHAFU JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 996 Reaction score 773 Mar 25, 2014 #1 Jamani hivi subsistence allowance ya walimu wa Grade A wanaoenda kuripoti tarehe moja ni Tsh ngapi kwa siku?
Jamani hivi subsistence allowance ya walimu wa Grade A wanaoenda kuripoti tarehe moja ni Tsh ngapi kwa siku?
M MahinaVeterani JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 710 Reaction score 256 Mar 25, 2014 #2 Noma kuiweka hadharani kwa kuwa kwa siku inaweza kulingana na ile wanayolipwa Wabunge wa BMK, yaani ***,000/= per day! Uliza kimyakimya Kaka!
Noma kuiweka hadharani kwa kuwa kwa siku inaweza kulingana na ile wanayolipwa Wabunge wa BMK, yaani ***,000/= per day! Uliza kimyakimya Kaka!
M mbontafo Member Joined Feb 24, 2014 Posts 87 Reaction score 40 Mar 25, 2014 #4 acha kumfuatilia mdogo wako.yaani unamkaba hadi wataka kujua ni sh. ngapi?