A
Anonymous
Guest
Walimu wa Halmashauri ya Wilaya ya Meru (Meru DC), hatujalipwa fedha za increment tangu mwezi Julai 2026.
Kila tunapofuatilia kuhusu malipo hayo, tunaelezwa kuwa tatizo linasababishwa na mfumo wa ESS, wakidai kuwa alama zetu zimeshuka. Jambo hili si kweli, kwa sababu alama zetu hazijashuka.
Tunaomba mamlaka husika ifuatilie suala hili na kuhakikisha tunalipwa fedha zetu za increment ambazo hatujapokea tangu mwezi Julai 2026.