Walimu wa Historia naomba msaada

Ikengya

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
614
Reaction score
178
Naomba kwa anayeweza anisaidie kuhusu 'principle of self-Determination' ilivyo saidia katika vuguvugu la kudai uhuru barani Afrika.
 
Mimi nadhani hyo ilikuwa boosted na watu kama Nyerer...Senghor...Nkhurumah...Kenyataa...n.k..wao baada ya kupata colonial education walikuwa na uwezo wa kushawishi lkn pia kuelezea evils za ukoloni..kwahyo kwenye nchi zao na Africa kwa ujumla walipowaambia watu wajitoe ili ukoloni uondoke basi walieleweka...watu wakaanza kufight against...colonial rule mainly from 1940s
 

Nakushukuru. Ila hao wakina nyerere walitumia point zipi zilizotokana na hiyo principle?
 
Yaani hapo cha kufanya ni kuhusisha kujitambua (kutambua haki zao) kwa waafrika kulivyoleteleza uhuru.
Very simple kama
 
Omwami nshomile. Funguka zaid mkubwa
 
Nakushukuru. Ila hao wakina nyerere walitumia point zipi zilizotokana na hiyo principle?

Hakuna principle ambazo ni overt written,simply unatakiwa kuuleza ni kwa namna gani kujitambua kwao kuliwasaidia waafrika kudai mabadiliko/uhuru
 
Priciple of self determination, hii ilitolewa na UNO mwaka 1945, kwamba kila mtu dunian ajitambue it means decolonization, hvyo ilisaidia kama ifuatavyo: 1.Declaration of human rights. 2.Rise of awareness and conciousness among the people. 3.provided forum for africans to discuss their problems. naendelea kufikiria
 

Nakushukuru mzee. Nilijisahau kwenye kuandika nilikuwa namaanisha ile kwenye Versailles treaty
 
hii ni moja wapo ya principles za VPT (Versaille Peace Treaty), ambayo ukiichambua kama ilivyo unapata points zilizosaidia kupata uhuru. Kwanza ujue What is self determination, kutoka kwenye definition , then read between the line utapata ni jinsi gani ilivyosaidia. Jishuhurishe ni simpe mno.
 
Mwalimu Shule ya msingi anayetaka kuja Bahi Mimi nije wilaya yoyote ya mkoa Wa Kilimanjaro tuwasiliane kwa no 0784 455405
 
Principle of self determination ni uwezo wa nchi kujiongoza zenyewe. Principle hii iliongozwa na marekani lakini ikilenga nchi za "balkan states" kama serbia,bosnia. Hii principle ilikua wide kiasi kwamba japokua ilielekezwa kwa hizo "balkan states" lakini nchi za Africa pia zikaitumia hii principle kupata uhuru.

Note: sio mwalimu ni mwanafunzi I stand to be corrected.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…