Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nadhani hyo ilikuwa boosted na watu kama Nyerer...Senghor...Nkhurumah...Kenyataa...n.k..wao baada ya kupata colonial education walikuwa na uwezo wa kushawishi lkn pia kuelezea evils za ukoloni..kwahyo kwenye nchi zao na Africa kwa ujumla walipowaambia watu wajitoe ili ukoloni uondoke basi walieleweka...watu wakaanza kufight against...colonial rule mainly from 1940s
Nakushukuru. Ila hao wakina nyerere walitumia point zipi zilizotokana na hiyo principle?
Priciple of self determination, hii ilitolewa na UNO mwaka 1945, kwamba kila mtu dunian ajitambue it means decolonization, hvyo ilisaidia kama ifuatavyo: 1.Declaration of human rights. 2.Rise of awareness and conciousness among the people. 3.provided forum for africans to discuss their problems. naendelea kufikiria