Walimu wa kike shule za msingi hawafundishi ipasavyo

Mfumo mzima wa elimu uliyopo na elimu yenyewe havifai kwa dunia ya leo na hao walimu wametokana na huo mfumo . kufaulu masomo haimanishi ndo umepata elimu.
 
Sio hawafundishi ipasavyo Bali hawana uwezo kabisa ni aibu kwa Taifa hizi Qualifications za aina hii kufundisha watoto wetu Alafu useme utapata wanafunzi bora. It's Nonesense
Sijui hii mitaala mipya watafundishaje Wakati ya zamani hawakuweza
Bila kuanzisha Qualifications mpya za waalimu wa msingi Shida Iko pale pale
Ulaya Cream qualifications ndio wanakuwa Waalimu
Tanzania Wagonjwa wa akili / Walioshindwa ndio wanakuwa Waalimu
Utafanyaje Ili Cream wawe walimu?
 
Peleka wivu wako chooni wewe
 
Elimu yetu bado ni janga, kwa sababu kwa uchunguzi walimu wengi wa kike shule za msingi Tanzania hasa shule za serikali ni pasua kichwa

Kati ya watu wanaodidimiza elimu yetu ni walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania
Walimu wa kike wanamambo mengi mnoo ambayo ni nje kabisa na ufundishaji

Shule ambayo ina walimu wa kike wengi uajibikaji ni zero , laiti walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania wangefundisha kama walimu wa kiume hii nchi ingekuwa mbali saana

Shule za msingi mijini zimejazana walimu wa kike halafu utegemee ufaulu wa asilimia 90,never ever

Walimu wa kike wa shule za sekondari hawana shida, shida ni msingi tu

Serikali iangalie ile hili
🤣🤣🤣🤣

Dah.. no comment!
 
Sio hawafundishi ipasavyo Bali hawana uwezo kabisa ni aibu kwa Taifa hizi Qualifications za aina hii kufundisha watoto wetu Alafu useme utapata wanafunzi bora. It's Nonesense
Sijui hii mitaala mipya watafundishaje Wakati ya zamani hawakuweza
Bila kuanzisha Qualifications mpya za waalimu wa msingi Shida Iko pale pale
Ulaya Cream qualifications ndio wanakuwa Waalimu
Tanzania Wagonjwa wa akili / Walioshindwa ndio wanakuwa Waalimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom