Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Sahihi mkuuWalimu wa kike walikuwa zamani
Utafanyaje Ili Cream wawe walimu?Sio hawafundishi ipasavyo Bali hawana uwezo kabisa ni aibu kwa Taifa hizi Qualifications za aina hii kufundisha watoto wetu Alafu useme utapata wanafunzi bora. It's Nonesense
Sijui hii mitaala mipya watafundishaje Wakati ya zamani hawakuweza
Bila kuanzisha Qualifications mpya za waalimu wa msingi Shida Iko pale pale
Ulaya Cream qualifications ndio wanakuwa Waalimu
Tanzania Wagonjwa wa akili / Walioshindwa ndio wanakuwa Waalimu
Peleka wivu wako chooni weweSio hawafundishi ipasavyo Bali hawana uwezo kabisa ni aibu kwa Taifa hizi Qualifications za aina hii kufundisha watoto wetu Alafu useme utapata wanafunzi bora. It's Nonesense
Sijui hii mitaala mipya watafundishaje Wakati ya zamani hawakuweza
Bila kuanzisha Qualifications mpya za waalimu wa msingi Shida Iko pale pale
Ulaya Cream qualifications ndio wanakuwa Waalimu
Tanzania Wagonjwa wa akili / Walioshindwa ndio wanakuwa Waalimu
Hata secondary walimu wa kike wapo wapo tu. Kuomba ruhusa kila siku.
Na wengi wanajiuzaWa Sasa ni umbea kwenye viti nje
Akina Evelyn Salt na genge lakeWalimu wa kike wengi wao ni negligent.
🤣🤣🤣🤣Elimu yetu bado ni janga, kwa sababu kwa uchunguzi walimu wengi wa kike shule za msingi Tanzania hasa shule za serikali ni pasua kichwa
Kati ya watu wanaodidimiza elimu yetu ni walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania
Walimu wa kike wanamambo mengi mnoo ambayo ni nje kabisa na ufundishaji
Shule ambayo ina walimu wa kike wengi uajibikaji ni zero , laiti walimu wa kike wa shule za msingi Tanzania wangefundisha kama walimu wa kiume hii nchi ingekuwa mbali saana
Shule za msingi mijini zimejazana walimu wa kike halafu utegemee ufaulu wa asilimia 90,never ever
Walimu wa kike wa shule za sekondari hawana shida, shida ni msingi tu
Serikali iangalie ile hili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unategemea Mwl Salma Rashidi na Mwl Janeth Pombe walipokuwa Mbuyuni s/m wakomae na maandalio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio hawafundishi ipasavyo Bali hawana uwezo kabisa ni aibu kwa Taifa hizi Qualifications za aina hii kufundisha watoto wetu Alafu useme utapata wanafunzi bora. It's Nonesense
Sijui hii mitaala mipya watafundishaje Wakati ya zamani hawakuweza
Bila kuanzisha Qualifications mpya za waalimu wa msingi Shida Iko pale pale
Ulaya Cream qualifications ndio wanakuwa Waalimu
Tanzania Wagonjwa wa akili / Walioshindwa ndio wanakuwa Waalimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akina Evelyn Salt na genge lake