vamda
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 895
- 571
Ndugu wana JF. Naomba kufahamu utaratibu wa kufuata ili kuwaajiri walimu wa kujitolea kwenye shule za sekondari. Je ni mkuu wa shule peke yake, bodi ya shule au walimu wote waliopo shuleni wanatakiwa kuhusishwa kwenye mchakato huo. Sheria na taratibu zinasemaje? Nawasilisha.