bulama
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 561
- 135
Ndugu wanajamii hii ya Tanzania, kwa muda mwingi mmekuwa mkilalamika kuhusiana na kushuka kwa kiwango cha elimu nchini mwetu. Sababu nyingi zimekuwa zikitolewa na wakati mwingine zinashindwa kuridhisha au kutoa majibu sahihi ya tatizo lenyewe.
Mimi binafsi baada ya kukaa katika hii sekta kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa walimu hawa wanaochaguliwaga kwenda kufanya kazi kwenyemaofisi ya elimu ndo kwa kiasi kikubwa ni tatizo la elimu nchini tanzania. Hii naisema hasa baada ya kuona mipango mingi inayopangwa kwa ajili ya maendeleo ya elimu wao hujipa kiapumbele kuliko walimu ambao ndo wako kwenye field. Hao walimu wa miaka ya 80 wamefikia hata hatua ya kutunga mitihanni na kuzisambazia shule zifanye wakitumia vitabu vya manenge na Mandwa kutunga mitihani. Hata zinzpopatika semina kwa ajili ya walimu wao hao ndo ujichagua ili wakale hela alfau huo ujuzi hauletwi tena kwa walimu.
Na mwingine anayejua mengine aweke hapa ili tuone jinsi ya kuinusuru hii elimu unayozama kwa kasi zaid.