Walimu wa masomo ya biashara tupeane connections ya kazi

Walimu wa masomo ya biashara tupeane connections ya kazi

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Kama unafahamu kuna shule ina uhaba wa walimu wa biashara katika masomo ya commerce,book keeping, accounts na economics

Tupia connections ya shule ambayo unafahamu ina uhaba ya walimu hao ili vijana wanaotafuta kazi
 
Si mjiajiri aisee

mmesoma biashara na bado mnashindwa kujiajiri🥵🥵🥵
 
Si mjiajiri aisee

mmesoma biashara na bado mnashindwa kujiajiri🥵🥵🥵
Umemuon Anna makinda akakaa bungeni akawa spika akakusanya mabilioni Ila bado ameajiriwa. ONDOA dhana ya kujiajiri jamani hata kuajiriwa kwa taaluma yako nako si umejiajrii kwa maarifa yako Ni sawa na mwenye mtaji wake amejiajiri pia. Kuna mental capital and financial capital. Hizo zote Ni mitaji sema watu wanachanganya yaani watu wamekuwa brainwashed kwa hili suala.
Mie Nina maarifa ya kutengeneza gari lako likiharibika Sasa iyo si nimeajiri ama sijajiajiri ama bado.
Mana naweza nikawa na duka la kawaida nimefungua kwa kucheki mahitaji ya watu wa mahala husika. Ni sawa mie Ni mwalimu Mana najua Kuna wanafunzi watapata mahitaji ya kufundishwa.
You can sell services or products. Kuna tangible and intangible goods or products jamani ama. Mie daktari nikitatua tatizo lako kwa kutumia maarifa ama mtaji wangu wa maarifa so tayari I can make a living.
Mie Ni polisi najua binadamu atahitaji kusimamiwa kufuata Sheria ivyo napotoa huduma Iyo ya kutumia nguvu binadamu afuate Sheria Ni sawa na anayekuuzia maziwa ama anayekupatia usafiri from a to b point ama Kuna makosa.

Watu wamejiajiri kuwaongoza watanzania,watu wamejiajiri kuwazalishia wake zenu,watu wamejiajiri kuwauzeeni bidhaa nyingi ambazo ni mahitaji ya kila siku wiki mwezi mwaka muongo ama Karne jamani ama Kuna shida ,mfano utahitaji kuvaa so Kuna mtu atakuuzia nguo.

Naombeni hii dhana ileweke kujiajiri
 
Ila shule nyingi Zina uhaba wa waalim wa book keeping na commerce zunguka shule Moja Moja huwezi kukosa
 
Back
Top Bottom