Walimu wa masomo ya vipaji, wamekwenda wapi?

Walimu wa masomo ya vipaji, wamekwenda wapi?

Crucifix

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
1,655
Reaction score
592
Nilipata elimu yangu ya sekondari kanda ya ziwa ambapo katika shule kadhaa masomo yaliyohusisha vipaji yalikuwa yakifundishwa. Masomo hayo ni pamoja na
  1. Fine arts (Sengerema, Nyegezi)
  2. Cookery (Bwiru Girls, Bukumbi)
  3. Needle work (Bwiru Girls)
  4. Music (Nyegezi, Ihungo)
Nimeulizia wadau walioko huko na wamenijulisha kuwa masomo hayo hayafundishwi tena kwa sababu kakuna walimu wa masomo hayo. Pia chuo cha ualimu Butimba kilikuwa kina"manufacture" walimu wa michezo na muziki kwa shule za msingi. Nimeuliza wadau katika shule msingi nako hakuna walimu wa muziki na walimu wa michezo hawafundishi michezo bali huratibu mashindano ya umitashumta.

Walimu wa masomo ya vipaji, wamekwenda wapi?
 
serikali inaogopa gharama halafu haya yangewasaidia sana waliofeli.
 
wameeleke9a na wanaosaidia nchi(western countries like USA na GERMAN)waache kuzaliza wataalam wa nyanja hzo ili tukiwahtaj tuwaagize kwao kwa bei kubwa.mfn kocha wa taifa staz analipwa si chn ya mili 20 kwa mwz.mbn nigeria wameshinda kombe la mataifa Afrika na kocha mzalendo?hatuwez kuhimiza michezo mashuleni na wakati wakuwafundisha michezo hakuna.
 
Back
Top Bottom