Walimu wa primary kazi hiyo!

Namche Bazar

Senior Member
Joined
Apr 8, 2019
Posts
116
Reaction score
176
Nimeona sehemu hilo tangazo.
Vijana jobless changamkieni.
Kila la heri.

 
Ivi day care hadi mwanaume unaomba huwa naona like ni nafas za mademu zaid..
 
Inaonekana hiyo shule imeupgrade kutoka nursery kuwa primary ndio maana inahitaji mwalimu wa darasa la kwanza na la pili kwa sababu wale wa day care na nursery tayari wapo.
Wewe ni mwelewa zaidi..jipigie makofi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…