acha fikra duni fanya kazi ilo ndani ya uwezo wako,selikali haina shukrani hata kidogo ukifa utasifiwa makaburini tu lakini hata kwako hawaji na familia yako itapata tabu.Kiutaratibu kila mwalimu ana idadi ya vipindi vya kufundisha kwa wiki sasa kama wewe unazidisha basi endelea kufanya hivyo.