logbes
Member
- Apr 17, 2011
- 88
- 20
jaman naomba mawazo yenu. walimU wa math na sayans na kiingereza mbona tunapata tabu sana ilihali mkwanja mwisho wa mwezi sawa! nikigomea vipindi vinavyozid ntakuwa nimekosea! binafsi nina vipindi 40 vya math na physics wakati wenzangu wa Art wana vipind 8. jaman nisaidie mawazo maana mpk naichukia hii kazi ya ualimu.