Walimu wa sekondary tunamitihani

Walimu wa sekondary tunamitihani

Arstotle

Member
Joined
Jan 7, 2013
Posts
45
Reaction score
10
Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu atafanya nini akifika form 4 kweli serikakali ya magamba inaandaa taifa la wasomi wa kesho au ndio magamba wanaunga mkono msemo wao wa wamethubutu wameweza na wanasonga mbele
 
Pamoja na alama za namna hiyo bado waziri anatamka wazi kuwa ufaulu umepanda kwa 8.8%
wakati waliamua kushusha kwa makusudi kiwango cha ufaulu hadi kufikia alama 70/250, baada ya kuona hatari ya shule nyingi za sekondari kukosa wanfunzi wa kidato cha kwanza
NADHANI HAYA YANATOKEA TANZANIA TU!
 
Leo hamna shida tatizo litakuja kesho tutakapokuwa wazee na watakaoshika serikali watakuwa vihiyo mbumbu watoto chukua chako mapema (Hapo ndipo tuchoka zaidi na kusaga meno)
 
mwenyewe nilipoona hiyo nilishangaa sana,nikabaki kujiuliza maswali ambayo hayakuwa na majibu hadi leo.
Ila kiufupi serikali imeamua kuwaangamiza wanachi wake kwa kutumia mbinu mbalimbali, mojawapo ni hii ya elimu maana elimu imevamiwa na siasa na kila kitu ndani ya elimu kiko kisiasa tu.
 
Unaletewa mtoto hajui kuandika na baadae unalaumiwa kwa kutofaulisha kidato cha nne.
 
kasheshe ni kwamba wanapofika form two wanachujwa haya watarudishwa nusu ya darasa manake mwaka huu huko lindi na mtwara hakuna wanafunzi wa form 3, kisa wamekuwa repeaters wote.

kaiz ipo ndo mana sitak laana mimi ya kuambiwa nimemfelisha mtoto wa mtu, sasa umefika wakati wa mwl mkongwe kama mm kbadili fani tu basi.
 
shida ya nnchi hii ni kwamba siasa inaingilia kila kitu. ngoja matokeo ya frm 2 yatoke labda wachakachue ila kuna shule hazitakuwa na frm 3,
 
Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu atafanya nini akifika form 4 kweli serikakali ya magamba inaandaa taifa la wasomi wa kesho au ndio magamba wanaunga mkono msemo wao wa wamethubutu wameweza na wanasonga mbele

elimu ya bongo ni kujichimbia kaburi lakini sio malengo ya kimilenia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
...alafu mtihani wenyewe ulikuwa wa kubahatisha majibu....Hata kama mtoto hajasoma, akicheza sandakalawe vizuri "anafaulu"
 
Ni Tanzania pekee ambako mtu akipata 20%=50/250 anakua amefaulu!!!
 
hamna shida kabisa kwani tunaenda na wanaoelewa na hawa wengine tutawaacha form 2. We subil kivumbi cha matokeo ya 2 soon.
 
Walimu msihofu tunaendelea na mbinu yetu ileile-FUNDISHA KADRI UNAVYO LIPWA,hadi tuongezewe mshahara,posho na mazingira bora ya kazi.
 
Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu atafanya nini akifika form 4 kweli serikakali ya magamba inaandaa taifa la wasomi wa kesho au ndio magamba wanaunga mkono msemo wao wa wamethubutu wameweza na wanasonga mbele
upo shule gani na mkoa gani ndugu aristle, kama hautojali?
 
Nin kifanyike kunusuru hili janga la elim?tusaidiane jaman mana tunaoumia ni walim wa sec.wakuu wao wanakula bata.
 
Mini naona sisi magamba tupo sahihi tu kwa sababu vyumba vya madarasa tunavyo/tumejenga, wamwalimu tunao/tumesomesha, watoto tunao/tumezaa, kumbuka Yesu hakuja kwa ajili ya walokole bali kwa ajili ta wenye dhambi, vivyo hivyo mwalimu ni kwa ajili ya wenye ujinga.
 
Ha ha haa hawakujua hilo.WALIMU WA KARNE HII ACHEN UVIVU FUNDISHENI WATOTO!
 
jamani nipo ruvuma uwwwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii nataka kurudi hme jamani mshi,arusa,tanga,morogo,karatu,yani
 
Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu atafanya nini akifika form 4 kweli serikakali ya magamba inaandaa taifa la wasomi wa kesho au ndio magamba wanaunga mkono msemo wao wa wamethubutu wameweza na wanasonga mbele

Nlipomaliza la 7 nlipat alama 205 na nkachaguliwa apaapa dar school...... niliumia sana kukosa vpaji na mm nljkuwa kati ya wanafunz waliokuw wmeperfome better but not best in my school but kuna marafk zangu weng sana walitoswa ata kupata shule wakt walikuwa na alama 150 na wala si zaman ni kipnd ndo jotojot za shule za jk znaanza .... Cha ajabu ni kuwa kuna dogo mtaani alipata alama 70 mwaka jana na kafaulu kwenda sec tena weng sana na wtoto siku hz ata hawasomi tena kam enzi nzetu za kuandka matirio alaf nmejaribu kufanya research na kugundua kuwa marks ambazo zilikuwa zinaptkan in my prmary school sasa hv hazipo tena na wtoto wamebak wa kwenda shule za kata na wawili au watatu ndo huwa wanabahatka kwenda vpaji au ata shule za mkoa eg azania, benjamin... inasikitisha sana kuona elimu yetu ikizikwa huku tunaiona....
Tuamke wasomi ata ikiwezekana tuandae maandamano nchi nzima kushnkiza kufufuliwa kwa elimu yetu na ata ikiwezekana shule mbovumbovu hz za jk zfungwe
 
heri hamsini nzima, kuliko mia mbovu!! Wa tz tunatia aibu kwenye sekta hii ya elimu, na kwa mwendo huu elimu yetu itazidi kudharaulika!
 
Nlipomaliza la 7 nlipat alama 205 na nkachaguliwa apaapa dar school...... niliumia sana kukosa vpaji na mm nljkuwa kati ya wanafunz waliokuw wmeperfome better but not best in my school but kuna marafk zangu weng sana walitoswa ata kupata shule wakt walikuwa na alama 150 na wala si zaman ni kipnd ndo jotojot za shule za jk znaanza .... Cha ajabu ni kuwa kuna dogo mtaani alipata alama 70 mwaka jana na kafaulu kwenda sec tena weng sana na wtoto siku hz ata hawasomi tena kam enzi nzetu za kuandka matirio alaf nmejaribu kufanya research na kugundua kuwa marks ambazo zilikuwa zinaptkan in my prmary school sasa hv hazipo tena na wtoto wamebak wa kwenda shule za kata na wawili au watatu ndo huwa wanabahatka kwenda vpaji au ata shule za mkoa eg azania, benjamin... inasikitisha sana kuona elimu yetu ikizikwa huku tunaiona....
Tuamke wasomi ata ikiwezekana tuandae maandamano nchi nzima kushnkiza kufufuliwa kwa elimu yetu na ata ikiwezekana shule mbovumbovu hz za jk zfungwe

Elimu ya nchi hii inapitia katika kipindi kigumu sana. Wananchi wanapenda sana elimu ya nchi hii lakini wanasiasa wameipenda zaidi. R.I.P elimu ya Tanzania. Inahitaji wazalendo wa hali ya juu kufufua elimu, hali si njema hata chembe
 
Back
Top Bottom