Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu atafanya nini akifika form 4 kweli serikakali ya magamba inaandaa taifa la wasomi wa kesho au ndio magamba wanaunga mkono msemo wao wa wamethubutu wameweza na wanasonga mbele