Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu atafanya nini akifika form 4 kweli serikakali ya magamba inaandaa taifa la wasomi wa kesho au ndio magamba wanaunga mkono msemo wao wa wamethubutu wameweza na wanasonga mbele

upo shule gani na mkoa gani ndugu aristle, kama hautojali?Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu atafanya nini akifika form 4 kweli serikakali ya magamba inaandaa taifa la wasomi wa kesho au ndio magamba wanaunga mkono msemo wao wa wamethubutu wameweza na wanasonga mbele
Mini naona sisi magamba tupo sahihi tu kwa sababu vyumba vya madarasa tunavyo/tumejenga, wamwalimu tunao/tumesomesha, watoto tunao/tumezaa, kumbuka Yesu hakuja kwa ajili ya walokole bali kwa ajili ta wenye dhambi, vivyo hivyo mwalimu ni kwa ajili ya wenye ujinga.
Jamani haya ni majanga kwa walimu wa sekondary kwa hawa form one wa mwaka huu yaani mwanafunzi anajumla wa alama 50 kati ya miambili hamsini amechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza huyu atafanya nini akifika form 4 kweli serikakali ya magamba inaandaa taifa la wasomi wa kesho au ndio magamba wanaunga mkono msemo wao wa wamethubutu wameweza na wanasonga mbele
Nlipomaliza la 7 nlipat alama 205 na nkachaguliwa apaapa dar school...... niliumia sana kukosa vpaji na mm nljkuwa kati ya wanafunz waliokuw wmeperfome better but not best in my school but kuna marafk zangu weng sana walitoswa ata kupata shule wakt walikuwa na alama 150 na wala si zaman ni kipnd ndo jotojot za shule za jk znaanza .... Cha ajabu ni kuwa kuna dogo mtaani alipata alama 70 mwaka jana na kafaulu kwenda sec tena weng sana na wtoto siku hz ata hawasomi tena kam enzi nzetu za kuandka matirio alaf nmejaribu kufanya research na kugundua kuwa marks ambazo zilikuwa zinaptkan in my prmary school sasa hv hazipo tena na wtoto wamebak wa kwenda shule za kata na wawili au watatu ndo huwa wanabahatka kwenda vpaji au ata shule za mkoa eg azania, benjamin... inasikitisha sana kuona elimu yetu ikizikwa huku tunaiona....
Tuamke wasomi ata ikiwezekana tuandae maandamano nchi nzima kushnkiza kufufuliwa kwa elimu yetu na ata ikiwezekana shule mbovumbovu hz za jk zfungwe