Walimu wa shahada wanaajiriwa kulingana na asilimia za mkopo walizokuwa wakipata chuo

Walimu wa shahada wanaajiriwa kulingana na asilimia za mkopo walizokuwa wakipata chuo

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,497
Reaction score
3,823
Chanzo cha habari kutoka wizara kimedai kuwa si rahisi kwa serikali kutompatia ajira mwanafunzi aliyesomeshwa kwa pesa nyingi,ila yule aliyekuwa na %chache itakuwa ngumu kwa yeye kuajiriwa! SERIKALI INATAKA KURUDISHA FEDHA ZAKE ILZOTUMIA,ILI KURUDSHA NI LAZIMA IWAAJIRI ILIOWASOMESHA KULINGANA NA % ZAO.

Source-baba mdogo(mfanyakaz wa wizara)
 
Wacha udaku wewe! Asilimia chache ndo ipi? 90,80 ,20 ama? Alaaaaah.....
 
Kitengo gan uyo babako mdogo sio clearner kweli!muambie ajipange asiwe anaropoka afanye maandaliz mazur ya chai za mabos na wew si kila usikiacho kutoka kwa ding ako mdogo ukilete humu jukwaani-ila endlea kumsikiliza
 
Yeye ndo anahusika na soft copy na uchaguzi wa STUDENT TEACHERS, kama hamuamini 'let us wait and then time will tell' ALHAMISI SIO MBALI!
 
Hvi na wewe ni mwalimu kweli?
 
Chanzo cha habari kutoka wizara kimedai kuwa si rahisi kwa serikali kutompatia ajira mwanafunzi aliyesomeshwa kwa pesa nyingi,ila yule aliyekuwa na %chache itakuwa ngumu kwa yeye kuajiriwa! SERIKALI INATAKA KURUDISHA FEDHA ZAKE ILZOTUMIA,ILI KURUDSHA NI LAZIMA IWAAJIRI ILIOWASOMESHA KULINGANA NA % ZAO. Source-baba mdogo(mfanyakaz wa wizara)

umeshafua nguo zako za shule leo ww?
 
Utoto huo,mara 70 asilimia,mara walopata mkopo,wewe huna akil
 
Eti soft copy! We ni mjinga kwel unafkr wizara ni geto kwako eh
Yeye ndo anahusika na soft copy na uchaguzi wa STUDENT TEACHERS, kama hamuamini 'let us wait and then time will tell' ALHAMISI SIO MBALI!
 
Mie nnaamini alichosema mjumbe kwenye hii sredi.
Ila mkopo wa serikali haurudishwi kwa njia ya pesa pekee maana sio wote wanaajiriwa serikalini, mkopo wa serikali kwa asilimia kubwa unalipwa kwa service anazozitoa mhusika kwenye jamii ya watanzania.
 
hata cku moja serikali haiwezi kufanya hivyo! Mi ni mwajiriwa tayari tangu 2008, ukisema % je wale wa dip na chet ni % ngapi? Hamna cha ba mdogo hapa kinachojulikana ni kwamba serikali ilikuwa haina hela! we fikiria mpaka sasa hivi bado fungu la kwenda Btp kwa waalimu wa cheti na diploma bado halijulikani litatumwa lini sembuse ajira!
 
6PN uyu jamaa anajipa moyo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom