Lwamadovela
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 324
- 235
Wadau corona ipo tuwe makini kwa kufuata maelekezo ya watalamu wa afya.
Nije kwenye Mada. Shule zimefunga tarehe 17 Machi kutokana na hali halisi kwamba watoto watulie home, nmeamua kuwapiga vipindi mwenyewe. Kabla ya hapo niliwataka wajisomee wenyewe. Nilipowataka walete daftari zao niwatengenezee maswali wananiambia daftari hawana eti ziko shuleni walikusanya. Sikustuka sana kwani hata huko nyuma weekend ukiwaomba daftari wanasema wamekusanya.
Leo nimeshangaa zote wamekusanya ikabidi nimpigie Mwalimu, Akakiri kuwa zipo shule. Ndo nikajiuliza kwa likizo hii watoto watajisomea nini!? Mwalimu namuliza kwanini wasiwagawie vile wanafunga, nilichojibiwa, nimekereka sana. [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Mzazi mwenzangu huko hali ikoje!? Au nawe maumivu ni haya haya!? Tupeane uzoefu