A
Kuna mtoto anamaliza darasa la saba na mimba juuuHuu ujinga umetoka na ukosefu wa Elimu kwa Wazazi kwa asilimia 70,
Wanapokua kwenye vikao wao kazi yao ni ndio mwalimu,
hawajui kujenga hoja wala kupinga hoja,
Tunawatakia masomo mema wanafunzi hao ππ.
Pasipo bahati ishakua ni mazoeaKuna mtoto anamaliza darasa la saba na mimba juuu
Nakazia hoja: Halafu hao-hao wazazi walioitika ndio mwl. leo wanakuja na hoja ya watoto wanatoka saa 1 usiku kana kwamba hawakuwepo kwenye kikao.Huu ujinga umetoka na ukosefu wa Elimu kwa Wazazi kwa asilimia 70,
Wanapokua kwenye vikao wao kazi yao ni ndio mwalimu,
hawajui kujenga hoja wala kupinga hoja,
Tunawatakia masomo mema wanafunzi hao ππ.
Safi sana na changamoto imepata ufumbuzi chap' badala ya kukalia kuleta kero humu.Juzi nimemmaindi mwl mkuu wa shule anayosoma binti yangu. Yeye anagraduate mwaka huu.
Juzi mtoto amerudi shule saa mbili usiku. Siku zote huwa saa 12 na nusu anakuwa ashafika home baada ya masomo ya ziada kwa drs la saba.
Namuuliza mtoto mbona kuchelewa Leo, ananijibu eti amechaguliwa kundi la ku dance kwaajili ya siku ya graduation so wanafanya rehearsal kuanzia saa 12 mpaka saa 1:30.
Nikampigia mwalimu mkuu kumuuliza kulikoni, then nikamwambia kama hawataangalia namna ya kubalance vzr mda wa watoto kurudi nyumbani mwanangu hatoshiriki hiyo michezo. Siku ya pili akarudi muda wa kawaida.
Walichofanya rehearsal wamepanga kufanya mara mbili kwa wiki na wanaanza saa kumi jioni.