kujichoma sindano ni sawa na kula unga wa chaki.
-kurukiwa na damu=na kumwagikiwa na tindikali maabara wakat unaandaa practical
-kupigwa na kichaa=kupigwa na mwanafunz anaekula bange,,,,kila mtu ana riski zake.
-kufanya kazi kwa mwalimu kuna kikomo?????hakuna kikomo,maana mwalim wa boarding anapumzika LINI????
Toa ujinga wako hapa, ukilaza wake ndio unamfanya awe mwalimu....walimu wengi unaowaona wako huko kutokana na matokeo yao mabovu ya darasani.....ha ha ha ha.......... Basi aende akasome sheria kama atadahiriwa chuoni....nenda sasa..wana zero cut off point.
Hawa jamaa wa Kilimo na mifugo wanavuta mkwanja mkubwa hivyo kwa sababu gani?
muuguzi cheti anasoma miaka 2 pia,diploma miaka 3,
kujichoma sindano ni sawa na kula unga wa chaki.
-kurukiwa na damu=na kumwagikiwa na tindikali maabara wakat unaandaa practical
-kupigwa na kichaa=kupigwa na mwanafunz anaekula bange,,,,kila mtu ana riski zake
Ifuatayo ni tofauti ya mishahara kwa watumishi wa umma( ajira mpya) .
ngazi ya cheti;
mwalimu 244,400/=
afya 472,000=,
kilimo/mifugo 959,400/=
sheria 630,000/=.
ngazi ya diploma
mwalimu 325,700/=
afya 682,000/=
kilimo/mifugo 1,133,600/=
sheria 871,500/=
ngazi ya degree
mwalimu 469,200/=
afya 802,200/=
kilimo/mifugo 1,354,000/=
sheria 1,166,000/=
walimu ni wito?
Mkuu, hizi scales za nchi gani?
hebu tazama tofauti hii ya kutisha ya viwango vya mishahara kwa watumishi wa umma wa tz
cheti mwalimu 244400,afya cheti 472000,kilimo na mifugo 959400,sheria 63000
diploma mwalimu 325000,afya 682000,kilimo na ufugaji 1133600,sheria 871500
degree mwalimu 469200,afya 802200,kilimo na ufugaji 1354000,sheria 1166000
JE UKO TAYARI KUVUMILIA KUNYANYASWA? Tafakari