Walimu wa Tanzania jifunzeni Kiingereza na Kiswahili mpate kazi nje ya nchi. Walimu wa Kenya wapata mchongo Marekani

Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.

1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
CCM nguvu kubwa ziko kwenye kutengeneza kizazi tegemezi ambacho at the end kinakuwa Chawa. Hawana maono ya kusolve matatizo magumu ya Hili Taifa mfano tatizo la Ajira.
Screenshot_20240707_211432_com.facebook.katana.jpg

Jana wamekusanya wanafunzi uwanja wa Taifa tangu asubuhi, na cha maana wameenda kuangalia wasanii uchwara wakinengua.l, baada ya hapo akaoanda jikwaani Amosi Makala akaanza kumfight Mbowe, Wao watoto wao wako Fedha Boys & Girls, wako Intetnationa School of Tanganyika, wako Kenedy House kule Arusha, wako St Cosntantine International School Arusha na Wako Breubarn Arusha pia, wanaandaliwa kwa utulivu ili waje watawale Chawa.
Screenshot_20240707_211426_com.facebook.katana.jpg

Sasa wanacho fanya ni kuchukua watoto wa wajinga kutoka kwenye shule zinazo tengeneza ujinga na wanawajaza Uwanja wa mkapa pale kusikiliza ujinga ili hali Watoto wao wao wakiwa kwenye shule za maana wakiandakiwa kija kuongoza wajinga wa hili Taifa na Chawa wa hili Taifa.

Mfano Mtoto wa Mwigulu Nchemba kuja kuongoza wajinga na Chawa wa hili Taifa ni swala la muda tu, ananolewa hawezi pelekwa uwanja wa mkapa kusikiliza ujinga.

Kenya ambako hawajui maana ya Kujikomba, wala Uchawa wala ujinga ,Serikali yao inakomaa kutafuta kazi hata nje ya nchi ilimuladi kuwasaidia Raia wao na janga kubwa la ukosefu wa kazi.

Tanzania wazo kama hilo halipo wakina Amosi makala anacho jua ni kupambana na Mbowe na Chadema ila muulize anajua nini kuhusu kutatua changamoto ya ajira hajui.

Hata Bosi wake pale Ikulu muilize ana mipango gani na gani kwa swala la ajira hana, sana sana ni jinsi ya kuzalisha chawa wengi huo ndio mpango walio nao.

CCM long plab zai ni kuzalisha idadi kubwa ya wajinga ambao hao wanaweza hata sombwa na Fuso na wakapewa buku 5 na wakasahau shda za miaka mitano.

Wahitimu wenyewe ni wajinga tupu, wanazani kujikomva ba kuwa Chawa ndio utatuzi wa ajira. Hawa ndio wengi wamejaa humu kazi kubwa ni kusifu na kuabudu kutwa nzima. wengi wanashinda njaa.

CCM wanajua fika wakisolve tatizo la ajira watakosa watu wa kusombwa na Fuso, hivyo tatizo la ajira ni mtaji mkuu kwao baada ya mtaji wa Simba na Yanga.
 
CCM nguvu kubwa ziko kwenye kutengeneza kizazi tegemezi ambacho at the end kinakuwa Chawa. Hawana maono ya kusolve matatizo magumu ya Hili Taifa mfano tatizo la Ajira.
View attachment 3036101

Jana wamekusanya wanafunzi uwanja wa Taifa tangu asubuhi, na cha maana wameenda kuangalia wasanii uchwara wakinengua.l, baada ya hapo akaoanda jikwaani Amosi Makala akaanza kumfight Mbowe, Wao watoto wao wako Fedha Boys & Girls, wako Intetnationa School of Tanganyika, wako Kenedy House kule Arusha, wako St Cosntantine International School Arusha na Wako Breubarn Arusha pia, wanaandaliwa kwa utulivu ili waje watawale Chawa.
View attachment 3036103

Sasa wanacho fanya ni kuchukua watoto wa wajinga kutoka kwenye shule zinazo tengeneza ujinga na wanawajaza Uwanja wa mkapa pale kusikiliza ujinga ili hali Watoto wao wao wakiwa kwenye shule za maana wakiandakiwa kija kuongoza wajinga wa hili Taifa na Chawa wa hili Taifa.

Mfano Mtoto wa Mwigulu Nchemba kuja kuongoza wajinga na Chawa wa hili Taifa ni swala la muda tu, ananolewa hawezi pelekwa uwanja wa mkapa kusikiliza ujinga.

Kenya ambako hawajui maana ya Kujikomba, wala Uchawa wala ujinga ,Serikali yao inakomaa kutafuta kazi hata nje ya nchi ilimuladi kuwasaidia Raia wao na janga kubwa la ukosefu wa kazi.

Tanzania wazo kama hilo halipo wakina Amosi makala anacho jua ni kupambana na Mbowe na Chadema ila muulize anajua nini kuhusu kutatua changamoto ya ajira hajui.

Hata Bosi wake pale Ikulu muilize ana mipango gani na gani kwa swala la ajira hana, sana sana ni jinsi ya kuzalisha chawa wengi huo ndio mpango walio nao.

CCM long plab zai ni kuzalisha idadi kubwa ya wajinga ambao hao wanaweza hata sombwa na Fuso na wakapewa buku 5 na wakasahau shda za miaka mitano.

Wahitimu wenyewe ni wajinga tupu, wanazani kujikomva ba kuwa Chawa ndio utatuzi wa ajira. Hawa ndio wengi wamejaa humu kazi kubwa ni kusifu na kuabudu kutwa nzima. wengi wanashinda njaa.

CCM wanajua fika wakisolve tatizo la ajira watakosa watu wa kusombwa na Fuso, hivyo tatizo la ajira ni mtaji mkuu kwao baada ya mtaji wa Simba na Yanga.
Cha ajabu kipi sasa? Hao wakenya hawaiwezi Tanzania, mbona mama anaongozana na wasanii wote kwenye msafara wake lakini hamsemi
 
Ila hii nchi 40% tu wakipata elimu na wakaamua wasiendeshwe kisiasa nchi haitawaliki. Ukijumlisha na ujuaji wetu?
 
Ujasusi was kiuchumi umefeli !wamejikita kwenye ujasusi wa kukipigania chama kishike dola na sio uchumi na hatma ya kizazi kijacho!!!
 
Tukisema chadomo ni wapuuzi watu hawaanini, hao wanakwenda siyo katika ajira huo ni mpango wa kawaida kabisa nchi zinakubaliana kupelekea walimu katika kubadilishana ujuzi tu, na huwa hawalipwi mshahara wao huwa upo Kenya na huwa hawakai zaidi ya miezi sita.
 
Watanzania wanajua sana sana kuchanganya Kiingereza na Kiswahili.
 
Back
Top Bottom