BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu.
Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba, kujipendekeza, na kumlamba Ruto miguu, hawa huwezi watoa Shuleni eti wakamshangilie Ruto uwanjani, haiwezekani kamwe.
Sasa njoo Bongo ambako Walimu ni kada Choka mbaya sana kuliko hata mchoma vitumbua, Ila wanashindana kumfurahisha Malikia na hata kushindana kumchangia pesa za fomu ya uraisi wakiamini kwamba hio ndio njia pekee ya wao kusikilizwa.
Hawa ni wana transfer ujinga na uzezeta, kweenda kwa watoto na ndio maana kuliko watoto wangu wafundishwe na hawa walimu bora wakae nyumbani tu.
Indusry ya kuzalisha wajinga wa hili Taifa iko shuleni chini ya walimu wajinga.
Na walimu wa nchi hii sio wa kuwatetea ni mara Bilion kutetea hata Paka wa mtaani kuliko kupoteza nguvu kuteteta walimu wa hili Taifa.