Walimu wa Tanzania wako wapi? au wao wana maisha mazuri sana? Kenya wanakiwasha

Hivi huwa ni kwanini tunajilinganisha na Kenya kwenye kila jambo?

Yaan hunu jukwaani hata Kenya wakijamba mtataka na sisi tujambe

Maisha yana radha yake kila mtu aishi kama anavyopenda sio lazima watu wa kundi A waishi kama Kundi B na kinyume chake

Kama unaona Kenya ni role modal wako hamia Kenya simple and clear!!
Tujilinganishe na Marekani au China? Kenya ndio size yetu
 
Walimu wa Tanzania ni Kama watanzania wengine tu maana hata mimi na wewe hapo life ikiwa haieleweki hatuwezi kukiwasha. Kenya ni level nyingine maana wao hawakuanza Jana wala juzi na Chama chao cha walimu kimewahi kujinasibu kuwa kina uwezo wa kuwalipa walimu mshahara kwa muda flan Kama serikali itakataa kuwalipa sababu ya mgomo labda.
Tanzania Chama Cha walimu ili tu kinunue Gari la maafa na starehe wilaya labda ni lazima lizuie gawio linaloenda kwenye matawi yake wilayani hapošŸ˜€
Hapa walimu mtawatwisha tu mzigo ila watanzania wote tu ni watu aina ya walimu
 
KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu.

Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba, kujipendekeza, na kumlamba Ruto miguu, hawa huwezi watoa Shuleni eti wakamshangilie Ruto uwanjani, haiwezekani kamwe.

Sasa njoo Bongo ambako Walimu ni kada Choka mbaya sana kuliko hata mchoma vitumbua, Ila wanashindana kumfurahisha Malikia na hata kushindana kumchangia pesa za fomu ya uraisi wakiamini kwamba hio ndio njia pekee ya wao kusikilizwa.

Hawa ni wana transfer ujinga na uzezeta, kweenda kwa watoto na ndio maana kuliko watoto wangu wafundishwe na hawa walimu bora wakae nyumbani tu.

Indusry ya kuzalisha wajinga wa hili Taifa iko shuleni chini ya walimu wajinga.

Na walimu wa nchi hii sio wa kuwatetea ni mara Bilion kutetea hata Paka wa mtaani kuliko kupoteza nguvu kuteteta walimu wa hili Taifa.
Wako bize kugombani ukatibu Elimu wa Kata
 
Hakuna watumishi wa umma ambao ni useless na wapumbavu duniani kama hawana tulionao Tanzania hapa....!!

Hawa watumishi wetu wanachohitaji wao ni wapate boss ambaye hana muda wa kuwafuatilia mara kwa mara kwenye utendaji kazi wao au kwa maana nyingine kiongozi ambaye ataruhusu uzembe makazini basi, hapo watampenda kama nini na kumpa sifa zote unazojua wewe.

Hawa watumishi wetu wa umma wakiwemo walimu wala hata hawahitaji kuboreshewa maslahi yao maana kama ni shida wameshazizoea!
Na ndivyo ilivyo.....wanapenda uhuru. Na maboss nao wanawajua kuwanyonya watumishi kupitia hiyo loophole
 
KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu.

Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba, kujipendekeza, na kumlamba Ruto miguu, hawa huwezi watoa Shuleni eti wakamshangilie Ruto uwanjani, haiwezekani kamwe.

Sasa njoo Bongo ambako Walimu ni kada Choka mbaya sana kuliko hata mchoma vitumbua, Ila wanashindana kumfurahisha Malikia na hata kushindana kumchangia pesa za fomu ya uraisi wakiamini kwamba hio ndio njia pekee ya wao kusikilizwa.

Hawa ni wana transfer ujinga na uzezeta, kweenda kwa watoto na ndio maana kuliko watoto wangu wafundishwe na hawa walimu bora wakae nyumbani tu.

Indusry ya kuzalisha wajinga wa hili Taifa iko shuleni chini ya walimu wajinga.

Na walimu wa nchi hii sio wa kuwatetea ni mara Bilion kutetea hata Paka wa mtaani kuliko kupoteza nguvu kuteteta walimu wa hili Taifa.
Wakenya wanajielewa sio matz mengi ni Mazezeta, hujui aliyesoma na asiyesoma! Tatizo la tz ni mwenge!!!
 
Sasa wewe usie na mnyororo si uingie barabarani tukuone ili sisi watumwa tukufuate?

Yaan kila kitu tunataka tujifananishe na Kenya hiyo sio sawa

Wa bongo wamepewa hadi Vishikwambi wstaje nini tena?! šŸ˜†šŸ˜†
 
Ungeweza kuandika tu hoja yako bila kebehi na kejeli na bado ukaeleweka tu.
Wengine wazazi wetu waalimu na dhiki hizo unazozisema hatujawahi kuziona.
Hawa hawagomi kwa sababu means za kuishi wanazo,ila siku walishindwa kuishi utawaona wote barabarani.
Tuna hali tofauti sana ya Kimaisha na Kenya.
Watu wengi wanatamani Kila baya linalotokea Kenya basi na Tanzania litokee,haitawezekana.
Tanzania tuna Nafuu kubwa sana ya Maisha hasa kwenye Chakula,ambalo ni misingi wa Maisha ya Binadamu.
Kama unaipenda sana Kenya hujakatazwa kuhamia.
Wahamie Kenya ili mmbaki mazombie tu hapa Tanzania?
 
KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu.

Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba, kujipendekeza, na kumlamba Ruto miguu, hawa huwezi watoa Shuleni eti wakamshangilie Ruto uwanjani, haiwezekani kamwe.

Sasa njoo Bongo ambako Walimu ni kada Choka mbaya sana kuliko hata mchoma vitumbua, Ila wanashindana kumfurahisha Malikia na hata kushindana kumchangia pesa za fomu ya uraisi wakiamini kwamba hio ndio njia pekee ya wao kusikilizwa.

Hawa ni wana transfer ujinga na uzezeta, kweenda kwa watoto na ndio maana kuliko watoto wangu wafundishwe na hawa walimu bora wakae nyumbani tu.

Indusry ya kuzalisha wajinga wa hili Taifa iko shuleni chini ya walimu wajinga.

Na walimu wa nchi hii sio wa kuwatetea ni mara Bilion kutetea hata Paka wa mtaani kuliko kupoteza nguvu kuteteta walimu wa hili Taifa.
Walimu wetu ni mabilionea ndio maana walichanga fomu ya rais
 
Back
Top Bottom