Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Nimeamua kuja na wazo biashara kwa wale walimu wote wanaojituma kwenye kuandika makala mbali mbali hasa za kitaaluma.
Fursa ipo kwenye kuandika na kutafuta walaji wa kile unacho kiandika.
Equation x ameamua kuwa kati ya anayeandika (mwandishi) na mlaji, ili mwisho wa siku uweze kuona matunda ya kazi yako ya kuandika.
Kama uko tayari, jibu ifuatavyo kuonyesha aina ya chuo unachofundisha.
VK- vyuo vya kati
VV- vyuo vikuu
NB: Uwe nchi yoyote ile duniani