Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Kukiwa na utulivu kwa mashariki ya kati, kunaweza kufanyika jambo.VV
From IRAN
sawa, hapa nipo kwenye handaki, nikitoka ntakupigia mkuuKukiwa na utulivu kwa mashariki ya kati, kunaweza kufanyika jambo.
Wahimize wasitishe vita mkuu, miezi inayokuja itakuwa migumu kidunia, katika nyanja ya kiuchumi.sawa, hapa nipo kwenye handaki, nikitoka ntakupigia mkuu
tunaowahimiza wote wamevutishwa shuka mkuuWahimize wasitishe vita mkuu, miezi inayokuja itakuwa migumu kidunia, katika nyanja ya kiuchumi.
Nini kifanyike ili dunia irudi kwenye utulivu?tunaowahimiza wote wamevutishwa shuka mkuu
labda dunia iachane na sisi, ila kwa uwepo wa binadamu tusahau utulivuNini kifanyike ili dunia irudi kwenye utulivu?
Iran akubari kubeba mimba vita iishe basi maisha mengine yaendelee ushaolewa unakataaje kulala bila chupi? Usisahau Trump pamoja na uwendawazimu wake kuna masuala yupo sahihi kwa mustakabari wa dunia nzimaNini kifanyike ili dunia irudi kwenye utulivu?