walimu wa7 pataeleweka

walimu wa7 pataeleweka

Kimetah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Posts
1,049
Reaction score
189
walimu wanasubiria kwa hamkubwa mwezi wa saba wataongezewa Tsh.ngap kwenye mshahara wao>>>
Je serilali inalijua hilo au wewe mwananchi walifam hilo?
Ongea na mwalimu wa mtoto wako ili akubaliane na chochote serikali itakachokiifanya azidi kuvunilia taabu na matatizo pamoja na kumfaulisha mwanao.
 
hamna kuvumilia!likeki lataifa wanakula wachache sana zaidi(wanasiasa),nchi yetu sio maskini,tz nitajiri sana ingekuwa maskin walimu tungekubali,haiwezekani mtu mwenye diploma ya medicine alingane mshahara na mwenye degree yaualimu huo niudhalilishaji kabisa!naomba walimu wenzangu private naserikalin tufanye kweli,yani tufelishe watoto asilimia 98 hatakama balaza(necta)akiisiti zibaki zeros ili serikali idhibitishe tuko serious alaa!nahasiri hebu niishie hapo......!
 
na ingekuwaje kwako kama ungefelishwa?Think more
 
haijawahi tokea kusoma uzi mchovu kama huu, hivi wewe darasa la ngapi.

unafikiri kweli? au unakurupuka kuandika...ok..tatizo ni meseji yako kwanza iweke vizuri(edit)

ujumbe ni mzuri lakini haujakaa sawa.
 
Ila waalimu mnatakiwa kuwa serious make kuwa wengi si sababu kabisa nyie kupunjwa,mbona Btswana wao wanalipwa poa?
 
Mkiendelea kulala mtakufa maskini wakati wenzenu wanakula wanasaza ..fight 4ur prosperities fearlessly.
 
Back
Top Bottom