Mimi binafsi sirizishwi na hatua ya serikali sikivu ya CCM kuwakalisha kitaa wahitimu wa vyuo vya ualimu more than 7 months bila sababu za msingi. Hii inaweza kuwaathiri kisaikolojia, kiuchumi na hata kitaaluma. Sioni mantiki ya kufanya hivyo wakati kila siku serikali inawahadaa watanzania kuwa kuna uhaba mkubwa wa walimu!! Kwanini isiwape hata mkataba wa muda wakati wanaweka mambo sawa? Voda fasta wawo mbona walipatikana fasta na fungu likapatikana la kuwalipa? Acheni siasa kwenye elimu jamani.
Siyo tu kupunguza ufanisi lakini pia kutakuwa na upungufu mkubwa wa walimu watakao riport katika vituo vya kazi, sababu ikiwa ni kuamua kuweka mikataba na private schools na wengine wakihama kabsa sector na kufanya yao maana ikumbukwe Ualimu ni changuo la mwisho kabsa baada ya mtu kuwa amefeli kufanya aliyokuwa amepanga.
Kitakacho tokea Serikali itatangaza ajira za walimu 26,000 lakini kuna uwezekano wakariport 13,000 hasa Diploma na Certificate na Degree wachache waliosomea masomo ya sanaa (art).
MUNGU IBARIKI TANZANIA.