Walimu wakatazwa kubet

Walimu wakatazwa kubet

Imagine unaambiwa hivyo huku umeshasuka mkeka wako mwenyewe na unasubili timu moja tu itiki ubebe kibunda chako..
Kama namuona teacher hapo aliyevaa batiki ya njano na ugoro anamwangalia mkuu wa wilaya kwa madharau kabisa. Ila sijasema amebet jamani🤣🤣🤣🤣
🤣🤣
 
HABARI Walimu katika wilaya ya Mlele mkoani Katavi, wametakiwa kujiepusha na tabia ya kucheza michezo ya kubeti na kuchukua mikopo kandamizi ambayo imekuwa ikishusha heshima ya Mwalimu na utumishi wa umma.
Ipo siku watakatazwa kupata hamu ya tendo
 
Back
Top Bottom