Nakuambia naruda hiyo mitihani ya la saba mimi ni mmojawapo sijawahi fanya kabla ya mabadiliko ya sasaSoma tena ulicho kiandika halafu ujiulize umeelewa nini
Nilisoma private primary nilipofika darasa la sita wazazi wangu wakasema niende secondary tu nikaanza form one private secondary school bila kufanya mtihani wa darasa la saba
Kuna wakati serikali ilipoona watu wanadharau mitihani ya darasa la saba baraza la mitihani liliacha kabisa kutoa vyeti vya darasa la saba kipindi cha waziri wa Elimu akiwa Ndalichako
Kuna watu hawana kabisa vyeti vya kumaliza darasa la saba vya baraza la mitihani la la Taifa kipindi hicho
Hivyo unachoongea ujinga mtupu hadi saa hii Naongea wako wazazi kibao hawahitaji watoto wao wafanye mtihani wa darasa la sita wameshafanya interview tayari za kwenda form one mwakani sababu shule za private nyingi hazihitaji hivyo vikaratasi vya kumaliza shule ya msingi kwenda form one wana mitihani yao
Kusema mtu eti anamtoa mtoto private eti aende kayumba sababu hiyo umetaja uongo mkubwa
Mzazi akiona mwanawe zimo hata akimaliza darasa la nne tu anampeleka form one shule za private hawana shida watampokea na hawatauliza cheti cha shule ya msingi
Hilo liko miaka mingi tu mbona
Wewe ushamba wako na ubahili ndio unakusumbua
Ndio maana hujui hayo
Wazazi wenzio wanaojitambua hutaka mtoto akifika miaka 18 au 19 tayari ana digrii tena kali short cut iko private schools sio hayo mashule yako ya kayumba