Walimu wakenya wanaofundisha Tanzania wailaumu serikali ya Tanzania kwa kuwakosesha ajira

Soma tena ulicho kiandika halafu ujiulize umeelewa nini
Nakuambia naruda hiyo mitihani ya la saba mimi ni mmojawapo sijawahi fanya kabla ya mabadiliko ya sasa

Nilisoma private primary nilipofika darasa la sita wazazi wangu wakasema niende secondary tu nikaanza form one private secondary school bila kufanya mtihani wa darasa la saba

Kuna wakati serikali ilipoona watu wanadharau mitihani ya darasa la saba baraza la mitihani liliacha kabisa kutoa vyeti vya darasa la saba kipindi cha waziri wa Elimu akiwa Ndalichako

Kuna watu hawana kabisa vyeti vya kumaliza darasa la saba vya baraza la mitihani la la Taifa kipindi hicho

Hivyo unachoongea ujinga mtupu hadi saa hii Naongea wako wazazi kibao hawahitaji watoto wao wafanye mtihani wa darasa la sita wameshafanya interview tayari za kwenda form one mwakani sababu shule za private nyingi hazihitaji hivyo vikaratasi vya kumaliza shule ya msingi kwenda form one wana mitihani yao

Kusema mtu eti anamtoa mtoto private eti aende kayumba sababu hiyo umetaja uongo mkubwa
Mzazi akiona mwanawe zimo hata akimaliza darasa la nne tu anampeleka form one shule za private hawana shida watampokea na hawatauliza cheti cha shule ya msingi

Hilo liko miaka mingi tu mbona

Wewe ushamba wako na ubahili ndio unakusumbua

Ndio maana hujui hayo

Wazazi wenzio wanaojitambua hutaka mtoto akifika miaka 18 au 19 tayari ana digrii tena kali short cut iko private schools sio hayo mashule yako ya kayumba
 
We fanya linalokupendeza blaza,,,,,ila kila mtu ana maamuzi yake
 
Pambana na hali.yako na wanao wazazi wengine na watoto wao waachie wenyewe

Una inferiority complex mbona unahangaika sana na mambo ya wazazi wengine na watoto wao na maamuzi yao

Utaehuka wewe ukichaa hauko mbali kama umeamua watoto wako wasome kayumba utajijua hayo yako waache wanaosomesha English Medium waendelee na yao huwachangii pesa bwege wewe

Achana nao na wewe endelea na ubwege wako na mitoto yako

Watoto wa wengine kaa nao mbali

Ila utaona school bus kila kona za English Medium ukipishana nazo bila kikomo.zinabeba watoto kupeleka English medium school.wanao na vidumu vyao na mifagio zitawapita wakiangalia
 
Mwekezaji shule mgeni unataka uajiriwe wewe? Nenda makampuni ya wawekezaji wahindi wanajaa wahindi

Au nenda kampuni za ndani mwekezaji mchaga,au mpemba au mwarabu unataka awajaze wandengereko?

Unalilia ajira mahali usipowekeza
Duuh kumbe 🤔🤔
 
Mkuu kwenye hili umenifingua mkuu. Sijui imekuaje hadi sikulijua hili mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…