FORCE NAMBA JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 937 Reaction score 327 Aug 20, 2014 #1 Wadau hivi walimu walioaplai mafunzo ya diploma ya Elimu ya msingi post zao zinatoka lini? Pia masomo wataanza lini naona wenye viti bado wako kimya kabisa naomba wenye news wawajuze
Wadau hivi walimu walioaplai mafunzo ya diploma ya Elimu ya msingi post zao zinatoka lini? Pia masomo wataanza lini naona wenye viti bado wako kimya kabisa naomba wenye news wawajuze